Unaweza kuangalia picha mbalimbali zilizopigwa pindi kazi ya utafsiri wa lugha ya Kibende ilipokuwa ikifanyika. Hata hivyo kazi hii haijakamilika, bado inaendelea. Tafadhali tuandikie maoni au maswali yako.